ONLINE

Monday 18 July 2016

Sharks Watua Ligi Kuu ya Moi
Sharks ndio mabingwa wa ligi ya hapa chuoni almaarufu Moi Super League. Sharks ambao walikuwa na msimu mzuri walitwaa ubingwa huo baada ya kuwanyuka Field Marshalls bao moja kwa nunge.
Sharks ndiyo timu iloyofunga mabao mengi zaidi huku ikicharaza wapinzani wake zaidi ya mabao manne. Baadhi ya timu zilizopata wakati mgumu dhidi ya Sharks ni Ted, Homeboyz na Wayia.
Klabu ya Sharks ilianzishwa mnamo mwaka wa elfu mbili kumi na tatu mwezi Agosti. Ilipoanzishwa, ni wachezaji kumi tu waliokuwemo. Hata hivyo, kutakana na umoja na bidii ya wachezaji, timu hiyo imeibuka kuwa bora zaidi hapa chuoni.
Kocha wa sharks ni Joshua Elaki huku meneja wa timu hiyo akiwa Kemboi Kelvin. Nahodha wa kikosi hicho ni Philip Kiloo almaarufu "Giggs ".
Sharks imeweza kuwatwaa wachezaji nyota wanaosakatia Cheptiret fc kwenye ligi ya kaunti ya Uasin Gishu. Baadhi ya wachezaji hao ni ; Philip Kiloo, Trey na Zola. Kwa hali hii, mechi mbili zilisakatwa ambapo timu ya cheptiret ilitoka sare ya bao moja na Kipsnendeni. Field Marshalls walipoteza mawili kwa moja dhidi ya Corner fc. Mshindi wa ligi hiyo atatuzwa shilingi laki moja na ishirini.
Harambee stars great improvement.                                  
National football team Harambee Stars registered a massive rise in the latest FIFA rankings released, moving 43 steps ahead. The stars are now ranked number 86 in the latest list released by the world football governing body. This is due to an improvement from position 129 that Kenya was ranked according to the statistics conducted in month of June.
 It was not only victory to the Kenyan coach Stanley Okumbi but also Kenya fans who had a reason to smile and celebrate again as national team which they describe it as the sleeping giant with potential to excel ranked position 86.
The massive improvement for the Stars could be credited with their 2-1 victory against Congo during the 2017African cup of nation qualifier in Nairobi. During the African cup of nation session, Uganda was ranked the highest in East Africa at position 1 followed by Kenya with Rwanda and Tanzania at position 111and 123 respectively. Algeria is the highest ranked African team  lying at position 32 followed by Ivory coast at 35 and Ghana at 36.In world, Argentina is top followed by Belgium and Colombia with the European champions Portugal at position 6. Hongera team Kenya........
Ushuru FC Heavily Tax Gor Mahia
-Gor Mahia’s dream of winning the leaue was dented after Ushuru FC held them to a burrenn draw.
_This is the second ame in a raw sees Gor Mahia failing to win a match.
_Gor Mahia now remains second in the league behind Tursker FC.
_Gor have 31 ponts while Tursker has 36 points with Mathare United the same points as Gor Mahia but with a poor goal difference.
Tursker FC 2-2 Chemelil Sugar
Kakamega Homeboyz 1-1 Sofapaka
Mohoroi Youth FC 2-1 Posta Rangers
Sony Sugar 1-0 Bandari

No comments:

Post a Comment