ONLINE

Wednesday 13 July 2016

NI TOWETT vs RATHORE

Na SIMIYU wanyonyi

Huku tukiwa tunahesabu masaa tu kabla ya magugu na ngano kubainika katika uchaguzi wa MUSO, timu zote za UBUNTU na KALE-LUYHA tayari zimetoa Orodha ya wagombea mumi na mmoja watakaopeperusha bendera ya miungano yao katika uchaguzi wa siku ya ijumaa. Kufikia mchana wa leo mwendo wa saa tano hivi, majina ya walioteuliwa yalibainishwa wazi kupitia kwa mitandao ya kijamii baada ya mazungumzo ya kina na faraghani ambayo hakuna mwanahabari aliyeshirikishwa ili kudondoa habari. Baadhi ya wafwasi wa Muungano wa UBUNTU, wameonyesha kutoridhika na orodha iliyopangwa huku wakisema kuwa usawa haukutiliwa mkazo. Wengine wao wanadai kuwa hawana cha kuogopa kwani watafuata kiongozi bora bali si orodha. Katika kambi ya KALE-LUYHA, wengi wameridhika ila wamesisitiza kuwepo kwa uaminifu katika mchakato mzima wa kupiga kura. Orodha ya kila timu ni kama ifuatavyo:

KALE-LUYHA
1 Chairperson =   Towett Ngetich
2 VC         =    Lavinah Samini
3 Sec Gen    =    Mwalo Remmy
4 Ass sec gen =     Festus Koech
5 Finance    =     Kanda Murkomen
6 Academics  =    Laban Oundo Wabwire
7 Security     =    Maxwell Okwiri
8 Health       =   Faith Chimoli
9 Catering     =    lyn Baliachi*
 10 Sports      =     Esther Wasike
11 Entertainment =    Dukakis

UBUNTU
1 Chairperson = Henry Rathore
2 VC         = Faith Muthoni
3 Sec gen     = Bosco Ondieki
4 Ass sec     = Sharnel Mwenzwa
5 Finance     = Eugene Muchai
6 Academics   = Governor Morris
7 Security      = Kuso
8 Health       = Hellen Mwikali
9 Catering      = Kwamboka
10 Sports        =Scott
11 Entertainment = Sewe

Je, ni WE THE PEOPLE ama ZIGREAT? mbivu na mbichi ni ijumaa hii.

@kaka Siwa.. . Ukilalamika kuwa kwako/kwenu kunavuja, kwa jirani mvua imeng'oa paa la nyumba. Maji hufuata mkondo kumbuka. Amani amani amani.

No comments:

Post a Comment