ONLINE

Tuesday 22 March 2016

VIDEO: BABU AMPIGA MPINZANI WAKE, Mike Jacobs

Mike Jacobs; mpinzani mkuu wa Babu Owino kwenye uchaguzi wa SONU

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi Chuo Kikuu cha Nairobi, Babu Owino ameripotiwa katika kituo cha polisi kwa madai ya kumpiga mwenzake Mike Jacobs. Owino, inadaiwa amegadhabishwa na Jacobs anayepania kusimama kiti cha uenyekiti wa Sonu wakati wa uchaguzi, jambo linalomkosesha Owino usingizi.




Mwenyekiyi huyo, kulingana, na kanda ya video ambayo imesambazwa kwenye mitandao mbali mbali za kijamii, Owino na jeshi lake waonekana wakimpiga makofi na kumsukuma Jacobs kwenye kituo cha petroli cha Kileleshwa. Mwanablogi Robert Alai amesema kwamba ametuma kanda hiyo ya video kwa raisi Uhuru Kenyatta ili achukue hatua. Owino amekuwa mwenyekiti kwa awamu tatu (2011, 2014 na 2015) na inaripotiwa kuwa huenda akasimama tena wakati wa uchaguzi unaokuja.

No comments:

Post a Comment